Friday, January 18, 2013

we are on Facebook....

Dear members.....!!!you may now share with us via your Facebook account page...

Just so simple....click LIKE then things will HAPPENS...... pia unaweza kutembelea TEKU Website na Baadhi ya Blog Zingine kupitia Blog yetu......nenda sehemu iliyoandikwa "Chek out these site" then Click utaona unachokihitaji.
 
                               Enjoy your Self!!!!!!!!!!!!!!!

26 comments:

  1. its good................keep in touch

    ReplyDelete
  2. Exactly the use of blog is a key of facilitating science and technology in learning. am greatly thanks you for opening my mind.

    ReplyDelete
  3. exactly the use of blog is a key of facilitating science and technology in learning.am greatly thanks you for opening my mind


    its me
    MWAKWENDA JENI
    TEKU/BAED/10589

    ReplyDelete
  4. I appreciate the blog because it will make us exchange views widely.


    Am
    JOSHUA ANGABILE
    TEKU/BAED/10285
    anga.dhmitz@yahoo.com

    ReplyDelete
  5. How women can manage their studies and family care at the same time and you found them performing well.
    BY
    NYAMBO EKLESIA
    TEKU/BAED/10716.
    nyamboe@gmail.com

    ReplyDelete
  6. You know women are very intelligent in nature and are very systematic in general activities. That's why they can manage their studies and family care well. So big up to them!


    GENERATED
    BY
    MWAKANYAMALE PENDO
    TEKU/BAED/10579
    mwakanyamalependo@yahoo.com

    ReplyDelete
  7. Thanks madam MBOYA for this new technology(blog) to me it brought interest on learning TED 501. THANKS
    From
    KYALAMWENE KISSA,
    TEKU/BAED/10371,
    kissakyalamwene@yahoo.com

    ReplyDelete
  8. TO GEOGRAPHERS,a form one student asking about attitude and temperature relationship,that he knows the one who is near the fire will experience more temperature than that who is far.Now how comes temperature decrease with increase in attitude while you are going near the sun?

    ReplyDelete
  9. kimweri mohamedi TEKU/BAED/10353

    Jaribu kurejea nukuu za mwalimu utaelewa tu.

    ReplyDelete
  10. Elimu ya sasa inaonekana kuwa ya nadharia zaidi kuliko vitendo kwani haimlengi mwanafunzi kuwa na ubunifu,ujuzi na uweledi bali kufaulu mitihani ya karatasi.Hii ni changamoto kwa wanazuoni kutafuta mbinu mbadala za kufundishia ili kuhakikisha tunalikomboa Taifa la kesho. Abraham Tumikiaeli.

    ReplyDelete
  11. Teofilo Kisanji University administration should encourage on the use of English language as a medium of communication in all activities so as to help students to be competent in the use of English language. by Ilomo Sarah

    ReplyDelete
  12. ELIMU TUNAYOPATA TEKU haiendani na changamoto zilizopo huko duniani kwani mabadiliko ya jamii kutokana utandawazi yameharibu tabia za wanafunzi, hivyo wanafunzi wa mwaka watatu wajipange kutafuta mbinu za ziada katika kazi, hasa vijana ambao hawajaajiliwa wazingatie haiba ya walimu vinginevyo kazi itakuwa ngumu kwao wazo la MWIGA SEFA

    ReplyDelete
    Replies
    1. SI ELIMU YA TEKU PEKEE. hili linalenga Tanzania nzima. tena kwa mtazamo wangu nawezasema tunauafadhari teku kuliko wengine. nina uzoefu kwani nimeona tulipokuwa katika mazoezi ya kufundisha. (field). thanks
      MAKANYAMALE PENDO. BAED/10579

      Delete
    2. Hii ni kweli TEKU afadhali kuliko sehemu nyingine.watu wanashindwa hata kuandaa andalio la somo.NGAJILO TUMPE TEKU/BAED/10677.

      Delete
  13. Ni vema zaidi kiswahili kama lugha ya taifa itumike katikakufundia shule za msingi hadi ELIMU vyuonni. Lugha za kigeni kama vile kingereza ziwe za ziada tu kwani endelea hutumia lugha zao za taifa katika ngazi zote za ELIMU. WAZO LA MWINZYA MARIAM

    ReplyDelete
  14. Ni kweli usemayo Mwalimu mtarajiwa, ila pia jaridu kufikiri na haya mambo ya utandawazi. Maana yangu ni kuwa, japokuwa watz si wazuri sana katika lugha za wenzetu lakini yatupasa kujitahidi nazo kwa vile tunakoelekea hali itakuwa ngumu zaidi, kwani walioifanya dunia kama kijiji ni wao wa nchi zilizoendelea na huko lugha yetu bado kidogo. TUKAZE BUTI TUTAFIKA TU. si unajua ya kuwa 'KILA PENYE NIA PANA NJIA'

    KATEULE JOYCE TEKU/BEL/10956.

    ReplyDelete
  15. Sarufi za kisasa zaidi zina mchango mkubwa sana katika sarufiya kiswahili miongoni mwa sarufi hizo ni pamoja na; sarufi amilifu, sarufi majumui, sarufi compyuta, sarufi hisabati, sarufi ufundishaji, sarufi akili na sarufi utendaji.


    MISHOLI JULIETH .K. TEKU/ BEL/10995.









    ReplyDelete
  16. STIVIN MARIA K TEKU/BEL/101071 Mariachrismasia@yahoo.comFebruary 11, 2013 at 3:18 AM

    NI KWELI KWAMBA SERA YA LUGHA INABIDI ILEKEBISHWA. TUTAKAPO TUMIA KISWAHILI KUFUNDISHIA KATIKA NGAZI ZOTE ZA ELIMU ITASAIDIA KUKUYA NA KUKITANGAYA KISWAHIL

    ReplyDelete
  17. MABADILIKO NI LAZIMA KWA TAIFA LOLOTE AMBALO WATU WAKE WANAHITAJI MABADILIKO CHANYA. KUIBADILI SERA YA LUGHA NI LAZIMA KWA MANUFAA YA KIZAZI KILICHOPO NA KIJACHO.JAMII ISIYO KUBALI MABADILIKO NI JAMII ISIYO HITAJI MAENDELEO NA ILIYO TAYARI KUHATARISHA AMANI YAKE.
    Na. Mchomvu Ibrahim T.E (BEL 10988)

    ReplyDelete
  18. Sarufi za Kisasa ni matokeo ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia pamoja na changamoto za mabadiliko nya jamii. hivyo maendeleo hayo ya Lugha ni muhimu sana.

    ReplyDelete
  19. MLWAFU JALEDI TEKU/BEL/101001 NI JAMBO LA MHIMU SANA KUIENZI LUGHA YETU YA TAIFAFA ILI KUWEZA KUINUA KIWANGO CHAKE, WATU WA BELIGEKI HAKIKISHA TUNATUMIA FURSA HII ILI KUKUZA KISWAHI.

    ReplyDelete
  20. MWAKIKWATA OMARI A. TEKU/BEL/101018 NIKWELI WATU WENGI WANA KIDHARAU KISWAHILI NA KUKIONA KUWA NI LUGHA YA WA TABAKA LA CHINI KITENDO KINACHO PELEKEA KISWAHILI KUTOTUMIKA KTK ELIMU YA JUU KUWA KAMA LUGHA YA KUFUNDISHIA.

    ReplyDelete
  21. thanks for the good work u have done, you put us in the new world
    DANIEL GABRIEL
    TEKU/BAED/10178

    ReplyDelete
  22. I would like to thanks to those who participate to create this brog because many of us, we have got the place to share different ideas.
    MBELWA WILLIAM N.
    TEKU/BAED/10448.

    ReplyDelete
  23. MPANGAYE CONRADY C TEKU/BEL/101003February 14, 2013 at 9:23 AM

    kiswahili kinatakiwa kupewa kipau mbele kwani ni lugha mama katika ncihi yetu ya Tanzania

    ReplyDelete
  24. I encourage every one of us to keep in touch on this site and on Facebook, it should not be only at the end of this semester of TED 501.

    "GREAT"

    TEKU/BAED/10160. CHACHA JAMES.


    .

    ReplyDelete