Aliyesimama ni Mama Mboya aikiwa anasema chochote kabla ya kumkaribisha Profesa Msanjila kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM) ili kutoa mada iliyoandaliwa siku hiyo.
Mama Mbayo akiwa yupo kidijitali{kijijiti}zaidi.....huku akichukua matukio mbalimbali ya kongoma.....hongera sana Mama kwa kuwaongoza vijana kimtandao.
Hongera sana dada....!!!!haya ni baadhi ya maneno yaliyokuwa yakisemwa na washiriki wa kongamano....ni mmoja kati ya washiriki waliotoa burudani siku ya kongamano.......ailitoka Kimpotompoto.....
kaka Mgeta nae alikuwepo na kufuatilia Kongamano kwa karibu sana.......pamoja dada wa Bel,akiwa amevalia tenge kama la Mama Kikwete.
Baadhi ya washiriki wa kongamano walipiga picha ya pamoja na profesa Msanjila akiwa na mkewe pamoja na muhadhiri Sigila kama mkuu wa idara ya lugha.
Profesa akiwaaga wanakongamano.............kwaheri baba......ufike salama Dar es salaam.
Kwa kweli kongamano lilifana sana.Sasa nimepata uelewa zaidi kuhusu Sera ya matumizi ya Lugha Tanzania. SAMSON BARAKA
ReplyDeletekongamano oyeee by seseme shabani
ReplyDeletekongamano oyeee by seseme shabani
ReplyDeletenafikiri ni wakati wa kuona ukweli uko wapi juu ya lugha yetu ya kiswahili tumekuwa watumwa mpaka katika lugha yetu. jamani tubadilike tuwe wanamapinduzi tuitetee lugha hii bora kabisa barani Afrika. AHMED SALUM
ReplyDeletekweli ilifana. tunaomba makongamano mengine yaandaliwe. MWAKANYAMALE PENDO
ReplyDeleteni vyema sn....................................!!!!
ReplyDeletejambo la kufurahisha na kutia matumaini.....,hongera kwa kitivo cha lugha TEKU.
ReplyDeletekwa kongamano hili napendekeza kiswahili iwe lugha ya kufundishia katika viwango vyote vya elimu ili tuzidi kuienzi NYAMBO EKLESIA.
ReplyDeleteHakika kongamano limetuzidi kitambulisha chuo cha TEKU kitaaluma. hivyo tuzidi kukienzi kiswahili kama lugha ya Taifa.
ReplyDeleteHakika kongamano limekitambulisha chuo cha TEKU kitaaluma. hivyo yuiendeleze lugha ya kiswahili. MWAKWENDA JENI
ReplyDeleteKongamano limeniwezesha kujua lugha yetu ya kiswahili. na pia umuhimu wa lugha zote mbili katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia. JOSHUA ANGABILE
ReplyDeleteHakika kongamano limenisaidia sana kuniongezea maarifa zaidi juu ya lugha yetu adhimu ya KISWAHILI.
ReplyDeleteKwa kweli kongamano limenisaidia kutambua nafasi ya lugha ya kiswahili. Nawashukuru wote walioshiriki kuandaa kongamano hili. MWALIZI.S. LOYCE TEKU/BAED/10602
ReplyDeleteNawatakia maandalizi mema ya mitihani pia msimsahau mungu wenu. KOMBA EDWARD A,
ReplyDeletePIA NAMI NAKUTAKIA MTIHANI MWEMA. KAMUA TUTOKE ILI TUJE KUVAA JOHO MWEZI WA KUMI. AHMED SALUM
DeleteTuwakumbuke na wenzetu wanaoumwa katika kipindi hiki cha mitihani Mungu awape nguvu waweze kupona na kufanya mitihani vizuri.KIMARO, JACKLINE B.
ReplyDeletetuwaombee wenzetu waliokosa ada waweze kufanya mitihani. ANYINGISYE FEBI
ReplyDeleteMUNGU AWABARIKI KATIKA MITIHANI YENU. PILLA ANUSIATA
ReplyDeleteHopely I'm among those who wish you all the best in your upcoming "UNIVERSITY EXAMINATION". May all GOD's blessing be with you, Have success preparation, particularly to TED 501.
ReplyDeleteGREAT.
CHACHA JAMES. TEKU/BAED/10160
ni kweli tumejifunza na wapi tunaelekea tujitathimini na lugha yrtu ya kiswahili ni lugha bora.MWAIJANDE ELIZABETH.
ReplyDeletenami naunga mkono juu ya hili tuthamini lugha yetu jamani. MWAKATIKA JAMES. TEKU/BAED/10581
ReplyDelete