Dear members.....!!!you may now share with us via your Facebook account page...
Just so simple....click LIKE then things will HAPPENS...... pia unaweza kutembelea TEKU Website na Baadhi ya Blog Zingine kupitia Blog yetu......nenda sehemu iliyoandikwa "Chek out these site" then Click utaona unachokihitaji.
Enjoy your Self!!!!!!!!!!!!!!!
its good................keep in touch
ReplyDeleteExactly the use of blog is a key of facilitating science and technology in learning. am greatly thanks you for opening my mind.
ReplyDeleteexactly the use of blog is a key of facilitating science and technology in learning.am greatly thanks you for opening my mind
ReplyDeleteits me
MWAKWENDA JENI
TEKU/BAED/10589
I appreciate the blog because it will make us exchange views widely.
ReplyDeleteAm
JOSHUA ANGABILE
TEKU/BAED/10285
anga.dhmitz@yahoo.com
How women can manage their studies and family care at the same time and you found them performing well.
ReplyDeleteBY
NYAMBO EKLESIA
TEKU/BAED/10716.
nyamboe@gmail.com
You know women are very intelligent in nature and are very systematic in general activities. That's why they can manage their studies and family care well. So big up to them!
ReplyDeleteGENERATED
BY
MWAKANYAMALE PENDO
TEKU/BAED/10579
mwakanyamalependo@yahoo.com
Thanks madam MBOYA for this new technology(blog) to me it brought interest on learning TED 501. THANKS
ReplyDeleteFrom
KYALAMWENE KISSA,
TEKU/BAED/10371,
kissakyalamwene@yahoo.com
TO GEOGRAPHERS,a form one student asking about attitude and temperature relationship,that he knows the one who is near the fire will experience more temperature than that who is far.Now how comes temperature decrease with increase in attitude while you are going near the sun?
ReplyDeletekimweri mohamedi TEKU/BAED/10353
ReplyDeleteJaribu kurejea nukuu za mwalimu utaelewa tu.
Elimu ya sasa inaonekana kuwa ya nadharia zaidi kuliko vitendo kwani haimlengi mwanafunzi kuwa na ubunifu,ujuzi na uweledi bali kufaulu mitihani ya karatasi.Hii ni changamoto kwa wanazuoni kutafuta mbinu mbadala za kufundishia ili kuhakikisha tunalikomboa Taifa la kesho. Abraham Tumikiaeli.
ReplyDeleteTeofilo Kisanji University administration should encourage on the use of English language as a medium of communication in all activities so as to help students to be competent in the use of English language. by Ilomo Sarah
ReplyDeleteELIMU TUNAYOPATA TEKU haiendani na changamoto zilizopo huko duniani kwani mabadiliko ya jamii kutokana utandawazi yameharibu tabia za wanafunzi, hivyo wanafunzi wa mwaka watatu wajipange kutafuta mbinu za ziada katika kazi, hasa vijana ambao hawajaajiliwa wazingatie haiba ya walimu vinginevyo kazi itakuwa ngumu kwao wazo la MWIGA SEFA
ReplyDeleteSI ELIMU YA TEKU PEKEE. hili linalenga Tanzania nzima. tena kwa mtazamo wangu nawezasema tunauafadhari teku kuliko wengine. nina uzoefu kwani nimeona tulipokuwa katika mazoezi ya kufundisha. (field). thanks
DeleteMAKANYAMALE PENDO. BAED/10579
Hii ni kweli TEKU afadhali kuliko sehemu nyingine.watu wanashindwa hata kuandaa andalio la somo.NGAJILO TUMPE TEKU/BAED/10677.
DeleteNi vema zaidi kiswahili kama lugha ya taifa itumike katikakufundia shule za msingi hadi ELIMU vyuonni. Lugha za kigeni kama vile kingereza ziwe za ziada tu kwani endelea hutumia lugha zao za taifa katika ngazi zote za ELIMU. WAZO LA MWINZYA MARIAM
ReplyDeleteNi kweli usemayo Mwalimu mtarajiwa, ila pia jaridu kufikiri na haya mambo ya utandawazi. Maana yangu ni kuwa, japokuwa watz si wazuri sana katika lugha za wenzetu lakini yatupasa kujitahidi nazo kwa vile tunakoelekea hali itakuwa ngumu zaidi, kwani walioifanya dunia kama kijiji ni wao wa nchi zilizoendelea na huko lugha yetu bado kidogo. TUKAZE BUTI TUTAFIKA TU. si unajua ya kuwa 'KILA PENYE NIA PANA NJIA'
ReplyDeleteKATEULE JOYCE TEKU/BEL/10956.
Sarufi za kisasa zaidi zina mchango mkubwa sana katika sarufiya kiswahili miongoni mwa sarufi hizo ni pamoja na; sarufi amilifu, sarufi majumui, sarufi compyuta, sarufi hisabati, sarufi ufundishaji, sarufi akili na sarufi utendaji.
ReplyDeleteMISHOLI JULIETH .K. TEKU/ BEL/10995.
NI KWELI KWAMBA SERA YA LUGHA INABIDI ILEKEBISHWA. TUTAKAPO TUMIA KISWAHILI KUFUNDISHIA KATIKA NGAZI ZOTE ZA ELIMU ITASAIDIA KUKUYA NA KUKITANGAYA KISWAHIL
ReplyDeleteMABADILIKO NI LAZIMA KWA TAIFA LOLOTE AMBALO WATU WAKE WANAHITAJI MABADILIKO CHANYA. KUIBADILI SERA YA LUGHA NI LAZIMA KWA MANUFAA YA KIZAZI KILICHOPO NA KIJACHO.JAMII ISIYO KUBALI MABADILIKO NI JAMII ISIYO HITAJI MAENDELEO NA ILIYO TAYARI KUHATARISHA AMANI YAKE.
ReplyDeleteNa. Mchomvu Ibrahim T.E (BEL 10988)
Sarufi za Kisasa ni matokeo ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia pamoja na changamoto za mabadiliko nya jamii. hivyo maendeleo hayo ya Lugha ni muhimu sana.
ReplyDeleteMLWAFU JALEDI TEKU/BEL/101001 NI JAMBO LA MHIMU SANA KUIENZI LUGHA YETU YA TAIFAFA ILI KUWEZA KUINUA KIWANGO CHAKE, WATU WA BELIGEKI HAKIKISHA TUNATUMIA FURSA HII ILI KUKUZA KISWAHI.
ReplyDeleteMWAKIKWATA OMARI A. TEKU/BEL/101018 NIKWELI WATU WENGI WANA KIDHARAU KISWAHILI NA KUKIONA KUWA NI LUGHA YA WA TABAKA LA CHINI KITENDO KINACHO PELEKEA KISWAHILI KUTOTUMIKA KTK ELIMU YA JUU KUWA KAMA LUGHA YA KUFUNDISHIA.
ReplyDeletethanks for the good work u have done, you put us in the new world
ReplyDeleteDANIEL GABRIEL
TEKU/BAED/10178
I would like to thanks to those who participate to create this brog because many of us, we have got the place to share different ideas.
ReplyDeleteMBELWA WILLIAM N.
TEKU/BAED/10448.
kiswahili kinatakiwa kupewa kipau mbele kwani ni lugha mama katika ncihi yetu ya Tanzania
ReplyDeleteI encourage every one of us to keep in touch on this site and on Facebook, it should not be only at the end of this semester of TED 501.
ReplyDelete"GREAT"
TEKU/BAED/10160. CHACHA JAMES.
.